Friday 3 April 2015

ISALMIC SOCIAL SOLIDARITY PROGRESSIVE ni
Taasisi inajihusisha na maswala mbalimbali yanayo wahusu waislamu katika nyanja mbalimbali za maisha yao ikiwa ni pamoja na kutatua matatizo yanayo wakumba ikiwepo matatizo katika nyanja mbalimbali za kielimu ,kiuchumi ,kijamiii pamoja na masuala mazima ya kufika lengo la kuubwa kwetu.

HADITHI YA WIKI HII
HADITHI YA 1
KILA KITENDO KWA NIA YAKE
الحديث الأول
” إنما الأعمال بالنيات “
عن أَمِيرِ المُؤمِنِينَ أَبي حَفْصٍ عُمَرَ بنِ الخطَّابِ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ : سَمِعْتُ رَسُولَ اللهِ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ:   ((إِنَّما الأَعْمَالُ بالنِّيَّاتِ وإنَّما لكُلِّ امْرِىءٍ ما نَوَى، فَمَنْ كانَتْ هِجْرَتُهُ إلى اللهِ ورَسُولِهِ فَهِجْرَتُهُ إلى اللهِ ورَسُولِهِ، ومَنْ كانَتْ هِجْرَتُهُ لِدُنْيا يُصِيبُها أو امْرأةٍ يَنْكِحُها فَهِجْرَتُهُ إلى ما هَاجَرَ إليه)).
رَوَاهُ إِمَامَا الْمُحَدِّثِينَ أَبُو عَبْدِ اللهِ مُحَمَّدُ بنُ إِسْمَاعِيل بن إِبْرَاهِيم بن الْمُغِيرَة بن بَرْدِزبَه الْبُخَارِيُّ     وَأَبُو الْحُسَيْنِ مُسْلِمٌ بنُ الْحَجَّاج بن مُسْلِم الْقُشَيْرِيُّ النَّيْسَابُورِيُّ   رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا فِي “صَحِيحَيْهِمَا” اللذينِ هُمَا أَصَحُّ الْكُتُبِ الْمُصَنَّفَةِ.

Kutoka kwa Amiri wa Waumuni, Abu Hafs ‘Umar Ibn Al Khattaab رضى الله عنه ambaye alisema : Nilimsikia Mjumbe wa Mwenyeezi  Mungu صلى الله
عليه وسلم akisema:
Vitendo vinategemea (vinalipwa kwa) nia na kila mtu atapata kwa mujibu wa kile alichokusudia.  Kwa hivyo yule aliyehama  kwa ajili ya Allaah na Mtume wake, uhamaji wake ni kwa ajili ya Allaah na Mtume wake, na  yule ambae uhamaji wake ulikuwa ni kwa ajili ya manufaa ya kidunia au kwa ajili ya kumuoa mwanamke (Fulani)  uhamaji wake ulikuwa kwa kile kilichomuhamisha.
Imesimuliwa na Maimam wawili mabingwa wa hadithi Abu Abdalla Muhammad  Ibn Ismail Ibn Ibrahim Ibn Mughiyra Ibn Bardizbah Al Bukhari na Abu Al Husayn Muslim Ibn Al-Hajjaj Ibn Muslim Al Qushayri An-Naysaburi, katika sahihi zao mbili ambavyo ni vitabu vya kutegemewa

No comments:

Post a Comment

add your comment here